Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 28Article 540319

Habari za Mikoani of Friday, 28 May 2021

Chanzo: millardayo.com

Vurugu zatokea msibani Arusha,mbunge magige azuiwa mwenyewe aongea

Vurugu zatokea msibani Arusha,mbunge magige azuiwa mwenyewe aongea Vurugu zatokea msibani Arusha,mbunge magige azuiwa mwenyewe aongea

Katika hali isiyo ya kawaida kumetokea vurugu katika mazishi ya mfanyabiashara Kuzola Madoda mkazi wa mkoa wa Arusha wakati akizikwa baada ya mbunge wa viti maalumu kuuziwa getini wakati akitaka kuingia katika eneo la maziko.

Lakini baadaye baada yakuingia nakuweka shada la maua kwenye kaburi hilo alitoka nakuzungumza kuhusiana na tukio hilo kwa ufupi nakusema hajaja kwenye mashindano na ana majonzi.

“Hatujaja kwenye mashindano,tumekuja kumzika mpendwa wetu,nina majonzi nitaongea nini sina cha kuongea no comment”-Mbunge Catherine Magige

Join our Newsletter