Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 586102

Habari za Afya of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

WHO yapendekeza dawa mbili kutumika kutibu Corona

WHO yapendekeza dawa mbili kutumika kutibu Corona WHO yapendekeza dawa mbili kutumika kutibu Corona

Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wameitaja Dawa ya Baricitinib kutumika kutibu Wagonjwa mahututi wa #COVID19 na dawa ya Sotrovimab kutumika kwa walio na Corona isiyo kali

Dawa hizo zimependekezwa baada ya kupata matokeo ya majaribio saba yaliyohusisha watu 4,000 waliokuwa na maambukizi ya Virusi hivyo

Dunia imeendelea kuhangaika na janga la Corona huku utoaji chanjo ukiendelea ili kudhibiti kasi ya maambukizi