Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 17Article 558037

Habari za Mikoani of Friday, 17 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Waliofariki ajali ya Mwendokasi, Familia yatoa tamko (video+)

Waliofariki ajali ya Mwendokasi, Familia yatoa tamko (video+) play videoWaliofariki ajali ya Mwendokasi, Familia yatoa tamko (video+)

Usiku wa Septemba 8, 2021 katika mataa ya Lumumba Dar es Salaam ilitokea ajali iliyohusisha Mwendokasi na Jikipiki iliyokuwa na watu wawili ambao waliweza kufariki dunia kutokana na ajali hiyo.