Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 26Article 553792

Habari Kuu of Thursday, 26 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Waliotimuliwa vyeti feki waanza kurudishwa kazini na kulipwa (Video+)

Waliotimuliwa vyeti feki waanza kurudishwa kazini na kulipwa (Video+) play videoWaliotimuliwa vyeti feki waanza kurudishwa kazini na kulipwa (Video+)

Watumishi 4380 walioondolewa kazini Mwaka 2017 (wenye elimu ya darasa la saba) wamerudishwa kazini na wameshaingia kwenye mfumo wa malipo wa serikali na fidia ya stahiki zao nyingine zinashughulikiwa.

Hayo yamesemwa leo hii na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim Alipokua anafungua mkutano mkoani Dodoma.