Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 29Article 560407

Habari za Mikoani of Wednesday, 29 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Wananchi Arusha wavamia gari la DC kwa mawe na kuvunja vioo (video+)

Wananchi Arusha wavamia gari la DC kwa mawe na kuvunja vioo (video+) play videoWananchi Arusha wavamia gari la DC kwa mawe na kuvunja vioo (video+)

Mkuu wa Wilaya ya Monduli , Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji Ngarama mapema kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini.

Akitoa ufafanuzi mbele ya Waandishi wa habari, Mwaisumbe amesema kuwa Septembe 24 mwaka huu akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo walienda katika kijiji hicho kwa lengo la kubaini tuhuma mbalimbali za ubadhilifu wa fedha zinazomkabili mwenyekiti huyo.