Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 09Article 584491

Habari za Afya of Sunday, 9 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Wanasayansi wagundua kirusi kipya hatari cha "Deltacron"

Wanasayansi wagundua aina mpya ya kirusi hatari zaidi cha Wanasayansi wagundua aina mpya ya kirusi hatari zaidi cha

Aina mbili maarufu za kirusi cha COVID zimeripotiwa kuungana pamoja katika kile kinachoelezwa kuwa ni muunganiko wa kirusi cha Omicron na Delat "Deltacron."

Leondios Kostrikis -- profesa wa sayansi ya kibaolojia katika Chuo Kikuu cha Cyprus na mkuu wa Maabara ya Bioteknolojia na Virolojia ya Molekuli huko -- ameviambia vyombo vya habari vya ndani wiki hii kwamba timu yake imegundua kile wanachoamini kuwa ni toleo jipya.

Jinsi anavyoielezea ... "saini za kijeni za omicron ndani ya jenomu za delta," ambayo inamaanisha kuwa kuna athari za aina zote mbili ndani ya kirusi kimoja, hivyo hatari zaidi inakuja.