Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 28Article 540364

xxxxxxxxxxx of Friday, 28 May 2021

Chanzo: ippmedia.com

Wanne wasimamishwa kwa ubadhirifu fedha machinjio ya kisasa

Watumishi waliosimamishwa kazi ni mchumi Gwakisa Mwakyeba, mkuu wa idara ya mifugo Tito Kagize, mhandisi wa ujenzi Kasimu Thadei, pamoja na mkuu wa idara ya manunuzi Godfrey Mwangairo.

Waziri Ummy amefikia uamuzi huo baada ya kupewa taarifa na mkurugenzi wa manispaa hiyo, Geofrey Mwangulumbi, na kuonekana kuna ubadhirifu wa fedha, ndipo akaamua kuwasimamishwa kazi watumishi hao ili kupisha uchunguzi.

"Mkurugenzi wewe ni mteule wa rais hivyo sitakugusa kwenye suala hili, saizi yangu ni hawa watumishi, hivyo kuanzia sasa na wasimamisha kazi wiki mbili ili kupisha uchunguzi juu ya ubadhirifu, " amesema Ummy.

Join our Newsletter