Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 30Article 560569

Habari Kuu of Thursday, 30 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Wasifu Wa Ole Nasha: Kuzaliwa, Elimu, Siasa Mpaka Kifo

Wasifu Wa Ole Nasha: Kuzaliwa, Elimu, Siasa Mpaka Kifo-Video play videoWasifu Wa Ole Nasha: Kuzaliwa, Elimu, Siasa Mpaka Kifo-Video

Aliyekuwa naibu waziri ofisi ya waziri mkuu na uwekezaji William Tete Ole Nasha alifariki dunia jijini Dodoma septemba 27 mwaka huu.

Ole Nasha alizaliwa Mei 27, 1972. Alihitimu elimu ya msingi mwaka 1984 katika Shule ya Msingi Kakesio, kisha akajiunga Arusha Catholic Seminary Secondary School kwa elimu ya upili ambayo alihitimu mwaka 1989. Aliendelea na elimu ya kidato cha tano na sita shuleni hapo na kuhitimu mwaka 1992….