Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 03Article 582790

Habari Kuu of Monday, 3 January 2022

Chanzo: millardayo.com

Watu 14 wafariki ajalini Mtwara, Rais Samia aguswa

Watu 14 wafariki ajalini Mtwara, Rais Samia aguswa Watu 14 wafariki ajalini Mtwara, Rais Samia aguswa

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Jenerali Marco Gaguti kufuatia vifo vya watu 14 waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea January 2, 22 katika Kijiji cha Lidumbe Wilayani Newala Mkoani Mtwara.