Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 26Article 574105

Habari Kuu of Friday, 26 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Waziri Aweso na Mkewe Wahitimu Shahada Nyingine

Aweso na familia yake Aweso na familia yake

Waziri wa maji Mh.Jumaa Aweso na mke wake Mh.Zainabu Abdallah ambaye ni mkuu wa wilaya ya Bagamoyo wahitimu shahada zao za uzamili(masters) . Wote walikuwa wakisoma masuala ya uongozi na utawala(masters of arts in governance and leadership) toka chuo kikuu huria Tanzania

Mh.Jumaa Aweso ambaye ni mbunge wa Pangani, tayari ana bachelor of science in chemistry toka chuo kikuu cha Dar es salaam

Kwa upande wa Mh.Zainabu Abdallah yeye tayari alikuwa na

* Diploma in Customs & Tax Management (DCTM)

* Bachelor of Business Administration in Accounting (BBA - Accounts)

* Postgraduate Diploma in Economic Diplomacy (PGD - ED)

Wanandoa hao Wana watoto watatu pichani.