Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 30Article 554419

Habari za Mikoani of Monday, 30 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Waziri Mkuu Amezindua Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Singida

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amefungua Majengo ya Ofisi za Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia wa Singida pamoja na Makao Mkuu ya Polisi Mkoani hapo , mapema hii leo Agosti, 30,2021Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi wa Jeshi hilo pamoja na viongozi wengine wa Mkoani hapo.