Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 20Article 558550

Habari Kuu of Monday, 20 September 2021

Chanzo: eatv.tv

Waziri Mkuu aagiza marumaru duni zing'olewe

Waziri Mkuu aagiza marumaru duni zing'olewe Waziri Mkuu aagiza marumaru duni zing'olewe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amegiza marumaru zilizowekwa kwenye sakafu ya wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Karagwe ziondolewe haraka kwani hazina viwango vinavyotakiwa na badala yake ziwekwe marumaru zenye ubora unaokidhi viwango vya serikali. 

Waziri Mkuu Majaliwa, ametoa maagizo hayo wakati alipokagua ujenzi wa hospitali hiyo akiwa katika ziara yake mkoani Kagera.