Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 13Article 563053

Habari Kuu of Wednesday, 13 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu ashiriki sala maalum ya JPM

Waziri Mkuu ashiriki sala maalum ya JPM play videoWaziri Mkuu ashiriki sala maalum ya JPM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameshiriki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wilayani Chato, Mkoani Geita, Oktoba 12, 2021.

Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.