Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 23Article 573622

Habari Kuu of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama

TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na Serikali. Wajumbe Maalum kutoka Umoja wa Afrika (AU) na Marekani wamejaribu kusuluhisha mvutano huo lakini kumekuwa na maendeleo madogo hadi sasa

Maelfu ya watu wanakadiriwa kupoteza maisha katika vita hiyo iliyolazimu Mamilioni kukimbia makazi yao na wengine wengi wakikabiliwa na njaa