Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 17Article 551938

Habari Kuu of Tuesday, 17 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Wizara "Gwajima athibitishe huo uzombi, anahatarisha maisha, tutamshughulikia" (+video)

Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel play videoNaibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel

Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel amemtaka Askofu wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kujitafakari juu ya madhara yatakayo wakuta wananchi kutokana na upotoshaji anaoendelea kuufanya juu ya chanjo ya Corona.

Dkt. Mollel ameyasema hayo leo Jumatatu, Agosti 16, 2021 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amemuonya Askofu huyo, “kama hana uthibitisgo wakisayansi aache kupotosha umma “.