Uko hapa: NyumbaniHabari2021 07 11Article 546532

Habari Kuu of Sunday, 11 July 2021

Chanzo: eatv.tv

Zimamoto watoa sababu ya kuchelewa kudhibiti moto

Zimamoto watoa sababu ya kuchelewa kudhibiti moto Zimamoto watoa sababu ya kuchelewa kudhibiti moto

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga amesema sababu ya kuchukua muda mrefu kudhibiti moto katika Soko la Kariakoo ni kutokana na kutokuwa na sehemu za kuchukulia maji ndani ya Kariakoo hivyo iliwalazimu kuyafuata Airport.

Submitted by Elbogast on Jumapili , 11th Jul , 2021 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga

''Kariakoo hakukuwa na sehemu za kuchukulia maji, ilitulazimu kuyafuata Airport na ndio maana imetuchukua muda mrefu kudhibiti moto'', ameeleza.

Zaidi tazama hapa