Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 585976

Habari Kuu of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Zuchu Amponza Mtangazaji Wasafi

Zuchu Amponza Mtangazaji Wasafi Zuchu Amponza Mtangazaji Wasafi

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu mtangazaji wa Wasafi TV, Aaliyah Mohamed na kipindi chake cha Refresh kwa kosa la kutumia maudhui yasiyofaa kwenye jamii.

Pia, kituo hicho kimetakiwa kuomba radhi kwa siku tatu kwa kurusha maudhui hayo wakimhoji msanii Zuchu.