Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 04Article 540976

Habari za michezo of Friday, 4 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Adam Adam wa JKT asajiliwa Al Wahda (+picha)

Adam Adam wa JKT asajiliwa Al Wahda (+picha) Adam Adam wa JKT asajiliwa Al Wahda (+picha)

Klabu ya Al Wahda ya nchini Libya, imemsajili mshambuliaji wa Tanzania, Adam Adam, mwenye umri wa miaka 24.

Kabla ya usajili huo, Adam Adam alikuwa akiitumikia klabu ya JKT Tanzania na hadi sasa ameifungia timu hiyo mabao Saba katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/2021 na magoli 13 msimu uliopita.

Al Wahda inashiriki Ligi Kuu ya nchini Libya.

“YUSUPH MANJI TUMEMKAMATA” MKURUGENZI TAKUKURU

Join our Newsletter