Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 10 03Article 561097

Soccer News of Sunday, 3 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Arsenal yalazimishwa sare na Brighton & Hove Albion

Pierre-Emerick Aubameyang akijaribu kuwatoka kipa Robert Sánchez wa Brighton & Hove Albion na beki Pierre-Emerick Aubameyang akijaribu kuwatoka kipa Robert Sánchez wa Brighton & Hove Albion na beki

Washika mitutu wa London, Arsenal baada ya kushinda mfululizo, hatimaye wamelazimishwa sare na Brighton siku ya Jumamosi.

Katika mchezo huo wa Ligi Kuu England, umepigwa katika Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussex timu hizo zikitoa sare ya bila mabao.

Katika michezo mingine ya Ligi hiyo Man United ilisuluhu na Everton, Burnley wakitoka sare ya bila kufungana na Norwich City.