Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 13Article 585613

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Aubameyang Arejea Kikosini

Aubameyang Arejea Kikosini Aubameyang Arejea Kikosini

Nahodha wa timu ya Taifa ya Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang amefanya mazoezi na wachezaji wenzake, kuelekea kwenye mchezo wa AFCON utakaopigwa kesho Ijumaa, dhidi ya Ghana. Aubameyang alikuwa akisumbuliwa na maambukizi ya virusi vya COVID-19.