Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 10 05Article 561496

Soccer News of Tuesday, 5 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Azam yalimwa faini ya Shilingi laki 5, Simba, Coast zaonywa

Kikosi cha Azam FC Kikosi cha Azam FC

Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya bodi ya Ligi kuu Tanzania (TPLB),imetoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na wapenda soka wote nchini kuhusu maamuzi iliyoyatoa baada ya kupitia matukio mbali mbali ya Ligi kuu Tanzania Bara.

Katika kikao chake kilichokaliwa Oktoba 4, Kamati hiyo imekuja na taarifa ifuatayo;