Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 14Article 585889

Habari za michezo of Friday, 14 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Baada ya Chama Kurejea Simba, Diva Naye Arudi Simba

Baada ya Chama Kurejea Simba, Diva Naye Arudi Simba Baada ya Chama Kurejea Simba, Diva Naye Arudi Simba

Ameandika Divatheebawse; "Guys @realclatouschama Amekuwa Rafiki Yangu Kwa Muda Mrefu sana, naongea nae sana muda mwingi ata alipo ondoka!.

he is one of a kind and January Nilijua atakuwa Dar Es Salaam!.
Niko very happy he knows ' Nimemwambia Nimelia Tears Of Joy!. tears of Joy sababu he is back in Tanzania and We all love him, he is so talented Fundi But also ni mtu mzuri sana mpole mstaarabu loving Caring!.

Mashabiki wa Mpira Tanzania y'all know wote roho yenu Chama haijalishi uko Team Gani!. welcome home!.

Itoshe Kusema He is Tanzania Sweetheart !.
welcome back @realclatouschama Mwamba Wa Lusaka !.
Break a leg ????"