Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 11Article 556828

Habari za michezo of Saturday, 11 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Breaking:Hans Pope wa Simba SC afariki dunia

Breaking:Hans Pope wa Simba SC afariki dunia Breaking:Hans Pope wa Simba SC afariki dunia

Mjumbe wa Bodi ua Wakurugenzi Simba SC na Mfanyabiashara Zakaria Hans Pope amefariki Dunia usiku huu jijini Dar es Salaam akiwa anapatiwa matibabu.

Wiki chache nyuma Hans Pope akihojiwa na kituo cha radio cha EFM, alithibitisha kulazwa ICU kutokana na kusumbuliwa na virusi vya Corona na baadae alipata nafuu.