Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 29Article 544777

Habari za michezo of Tuesday, 29 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking: Wallace Karia Mgombea Urais Pekee TFF

Breaking: Wallace Karia Mgombea Urais Pekee TFF Breaking: Wallace Karia Mgombea Urais Pekee TFF

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo Juni 29, 2029 imempitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Rais wa shirikisho hilo, baada ya kukidhi vigezo vyote. Karia anawania nafasi hiyo kwa awamu ya pili baada ya kuongoza kwa miaka minne.

Katiba ya TFF inasema “kama ikitokea mgombea wa Urais amebaki peke yake na amekizi vigezo basi hatopigiwa kura na badala yake ataenda kuthibitishwa na wajumbe wa Mkutano mkuu” Kwa maana hiyo Wallace Karia atasubiri kuthibitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu baada ya kubaki peke yake.