Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 19Article 572875

Soccer News of Friday, 19 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

EPL na NBC wasaini dili nono

Mkataba mnono EPL, wasainiwa Mkataba mnono EPL, wasainiwa

Habari njema kwa mashabiki wa EPL, Premier League imesaini dili nono na kituo cha televisheni cha NBC kwa miaka 6 ijayo.

NBC ni kituo cha televisheni cha nchini Marekani ambacho, mwaka 2015 NBC waliingia makubaliano na EPL kuonesha michezo ya ligi hiyo kwa kiasi cha £740M. Makubaliano haya yanamalizika msimu huu.

Mkataba mpya kati ya pande hizi una thamani ya Pauni bilioni ,mbili na utaanza kufanya kazi kuanzia msimu wa 2022/23 mpaka 2027/28.