Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 10 09Article 562219

Habari za michezo of Saturday, 9 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Emmanuel Okwi asaini mkataba na timu hii ya Rwanda

Emmanuel Okwi asaini mkataba na timu hii ya Rwanda Emmanuel Okwi asaini mkataba na timu hii ya Rwanda

Mchezaji wa zamani wa Simba SC Raia wa Uganda Emmanuel Okwi (28) amesaini kuichezea Club ya Kiyovu SC ya Rwanda kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Okwi anajiunga na Kiyovu SC ikiwa ni miaka miwili imepita toka aondoke Simba SC 2019 baada ya AFCON na kujiunga na Al Ittihad Alexandria ya Misri.

..