Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 24Article 553459

Habari za michezo of Tuesday, 24 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Haji Manara ahamia Yanga na Familia yake "Yanga ina Viongozi"

Haji Manara ahamia Yanga na Familia yake play videoHaji Manara ahamia Yanga na Familia yake "Yanga ina Viongozi"

Aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara ametangaza rasmi kujiunga na Yanga jioni hii Jijini Dar es salaam, ametangaza kuhamia na Familia yake nzima.

“Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba” — Manara.