Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 13Article 557098

Habari za michezo of Monday, 13 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Hans Pope Kuagwa Leo Karimjee

Hans Pope Kuagwa Leo Karimjee Hans Pope Kuagwa Leo Karimjee

Mwili wa Marehemu Zakaria Hans Poppe utaagwa leo Septemba 13, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam ambapo Wanasimba na wapenda soka na Watanzania kwa ujumla watapata fursa ya kutoa heshima zao za  mwisho.