Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 17Article 543058

Habari za michezo of Thursday, 17 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Hawa, Evans na Wallace Karia wapitishwa kugombea Urais TFF

Hawa, Evans na Wallace Karia wapitishwa kugombea Urais TFF Hawa, Evans na Wallace Karia wapitishwa kugombea Urais TFF

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kupitia makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Benjamin Kalume ametangaza kuwa Hawa Mniga, Evans Mgeusa na Rais anayetetea kiti chake Wallace Karia ndio wagombea waliokidhi vigezo vya kugombea nafasi ya Urais wa TFF August 7 2021 jijiji Tanga, wengine wameshindwa kukidhi vigezo kadhaa ikiwemo cha kukosa wadhamini (endorsement) akiwemo Ally Mayay na Oscar Oscar .