Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 20Article 573037

Soccer News of Saturday, 20 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Hiki hapa kikosi cha Namungo vs Yanga

Kikosi cha Namungo dhidi ya Yanga Kikosi cha Namungo dhidi ya Yanga

Namungo wanaikaribisha Yanga katika mchezo wa raundi ya sita Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo utapigwa katika dimba la Ilulu mkoani Lindi.

Hiki hapa kikosi cha Namungo kitakachoanza mchezo wa leo dhidi ya Yanga.