Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 08Article 541612

xxxxxxxxxxx of Tuesday, 8 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Hukumu ya Mkude Simba yaahirishwa mpaka apimwe

Kamati ya nidhamu ya klabu ya Simba imeghairisha tena hukumu ya mchezaji wake Jonas Mkude iliyopangwa  kusomwa Juni 7, 2021 juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu anazoshutumiwa kiungo huyo mkongwe kikosini.

Taarifa ya kughairisha kusomwa kwa hukumu hiyo ilitolewa usiku wa kuamkia leo na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kamanda Mstaafu, Suleiman Kova kupitia taarifa ya wazi kwa umma ambayo iliwekwa kwenye ukurasa wa mitandao ya kijamii ya klabu hiyo.

Join our Newsletter