Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 23Article 553246

Boxing News of Monday, 23 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Kauli ya bondia Twaha Kiduku baada ya kupokelewa Moro

Bondia Twaha Kiduku play videoBondia Twaha Kiduku

Agosti 22, 2021 Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku amepokelewa kwa shangwe mkoani Morogoro baada ya kuibuka mshindi dhid ya mpinzani wake katika pambano la uzito wa Kati lililochezwa usiku wa Agosti 21, 2021 jijini Dar es Salaam.

Shuhudia namna wakazi wa Morogoro walivyojitokeza kumpokea Bingwa wao Twaha Kiduku.