Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 19Article 572773

Soccer News of Friday, 19 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Ruvu leo Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Ruvu leo

Simba SC, jioni ya leo itashuka katika Uwanja wa CCM kirumba Jijini Mwanza, kuwavaa "Barcelona ya Bongo" timu ya Ruvu Shooting.

Mchezo huo ni mchezo wa raundi ya Sita, Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia ligi).

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya maafande hao wa Mlandizi Mkoani Pwani.