Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 19Article 558262

Soccer News of Sunday, 19 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Kikosi cha TP Mazembe kilivyowasili nchini

Kikosi cha TP Mazembe play videoKikosi cha TP Mazembe

Kikosi cha Timu ya TP Mazembe kimeingia nchini Tanzania kwa kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Simba S.C katika siku ya Simba Day Septemba 19, 2021 utakaofanyika uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

Baadhi ya Mashabiki wamelalamika kutoona baadhi ya nyota wa Wababe hao wa Soka barani Afrika.