Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 21Article 558787

Soccer News of Tuesday, 21 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

LIVE: Simba wanaingia Mkataba na emirate aluminium muda huu

CEO wa Simba ,Babra Gonzalez akikabidhiana mkataba na mwakilishi wa Kampuni ya Aluminium play videoCEO wa Simba ,Babra Gonzalez akikabidhiana mkataba na mwakilishi wa Kampuni ya Aluminium

Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club wameingia Makubaliano na Kampuni ya Emirate aluminium.

Katika taarifa yao kupitia mitandao yao ya kijamii, Simba wameandika;

"Mkataba wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.

Karibu kwenye familia ya mabingwa kampuni ya Emirate Aluminium ACP".