Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 23Article 573673

Soccer News of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

LIVE: TFF waingia mkataba na GSM udhamini wa Ligi Kuu

GSM, yaingia Mkataba na TFF kudhamini Ligi Kuu play videoGSM, yaingia Mkataba na TFF kudhamini Ligi Kuu

Kampuni ya GSM, imeingia Mkataba na Shirikisho la Mpira Tanzania TFF kudhamini Ligi Kuu Tanzania bara.

Mkataba huo ni wa miaka miwili na wenye thamani ya Shilingi za kitanzania Bilioni 2.1.