Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 01Article 567223

Soccer News of Monday, 1 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#LIVE: Yanga wanazungumza na Wanahabari muda huu, hatuna muda wa kusubiri (+Video)

Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara play videoMsemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara

Klabu ya Yanga inazungumza na Wanahabari muda huu kuelekea mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting.

"Wanayanga, twendeni tukatambe, tusiende kuvimba, tuna timu, tuna watu na kila kitu"

Yanga inacheza na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, Jumanne Novemba 2.