Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 27Article 559846

Soccer News of Monday, 27 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

LIVE: Yanga wazungumza na Wanahabari Muda huu (+ Video)

Mkutano wa Yanga na wanahabari play videoMkutano wa Yanga na wanahabari

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara anaongea na Wanahabari muda huu katika Makao Makuu ya Klabu hiyo eneo la Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es Salaam.