Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 07Article 584020

Soccer News of Friday, 7 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#MAPINDUZICUP2022: Full Time, Yanga 2 - KMKM 2

Mfungaji wa goli la pili la Yanga, Fei toto Mfungaji wa goli la pili la Yanga, Fei toto

Yanga wanatinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup licha ya kupata sare ya magoli 2-2 dhidi ya KMKM.

Magoli ya Yanga katika mchezo wa leo yamefungwa Heritier Makambo na Feisal Salum "Fei toto"

Mchezaji bora wa mechi katika mchezo huo amechaguliwa Fei Toto ambae amejinyakulia kitita cha shilingi laki tano.