Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 10Article 584731

Soccer News of Monday, 10 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#MAPINDUZICUP2022: Half Time, Azam 0 - Yanga 0

Mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza bado milango ni migumu mpaka sasa Mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza bado milango ni migumu mpaka sasa

Mpaka sasa ni mapumziko baada ya dakika 45 za kwanza huku kila timu ikiwa haijaona lango la mwenzake.

Sio Yanga wala sio Azam waliobahatika kufumania nyavu zamwingine katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Azam wamefanya majaribio kadhaa langoni mwa Yanga lakini golikipa Msheri amesimama imara muda wote.

Mpira unachezeka zaidi katika eneo la kati kati mwa uwanja.