Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 07Article 584044

Soccer News of Friday, 7 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#MAPINDUZICUP2022: Half Time, Simba 0 - Mlandege 0

Simba vs Mlandege Simba vs Mlandege

Bado milango ni migumu sio Simba wala Mlandege aliefanikiwa kupata goli katika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Pape Sakho anaonekana kuwa mchezaji tishio na hatari kwa upande wa Simba huku akiwaweka katika hali mbaya walinzi wa Mlandege.

Pascal Wawana Inonga kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kuwadhibiti washambuliaji wa mlandege FC.