Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 07Article 584038

Soccer News of Friday, 7 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#MAPINDUZICUP2022: Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Mlandege

Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Mlandege FC Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Mlandege FC

Simba SC wanaingia uwanjani usiku huu katika Uwanja wa Amaan kumenyana na Mlandege FC katika Kombe la Mapinduzi Cup.

Simba wanaingia uwanjani wakiwa na kumbu kumbu ya ushindi wa magoli 2-0 walioupata mchezo uliopita dhidi ya Selem View.