Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 10Article 584782

Soccer News of Monday, 10 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#MAPINDUZICUP2022: Kikosi cha Simba kinachoanza vs Namungo

Kikosi cha Simba kinachoanza vs Namungo Kikosi cha Simba kinachoanza vs Namungo

Baada ya Azam kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kumtoa bingwa mtetezi, sasa ni kuona nani anaetaka kugombea Kombe na Matajiri hao wa Jiji la Dar.

Simba watavaana na Namungo katika Finali ya Pili usiku huu kumtafuta wa kwenda fainali.

Simba wanaingia katika mchezo huo huku wakiwa na kumbu kumbu ya kulazimishwa sare katika mchezo uliopita dhidi ya Mlandege hatua ya Makundi.

Hiki hapa kikosi cha Simba kitakachoanza katika mchezo huo.