Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 07 02Article 545020

Habari za michezo of Friday, 2 July 2021

Chanzo: millardayo.com

Mahakama yasitisha uchaguzi TFF

Mahakama yasitisha uchaguzi TFF Mahakama yasitisha uchaguzi TFF

Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe.

Wanatakiwa kufika mahakamani kesho Ijumaa Asubuhi Julai 2,2021.

Uchaguzi wa TFF ulitarajiwa kufanyika mwezi ujao huku, Karia akiwa mgombea pekee wa nafasi ya urais baada ya wagombea wengine wanne wa nafasi hiyo kuenguliwa kwa madai ya kutokidhi vigezo.

JOHN HECHE ACHARUKIA BUNGE “BEI BIA IMEPUNGUA, MAFUTA YAMEPANDA BEI”