Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 22Article 559141

Soccer News of Wednesday, 22 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Man United yatolewa Carabao Cup

Mchjezaji wa man U, Jadon Sancho akizuia mpira usifike langoni kwake Mchjezaji wa man U, Jadon Sancho akizuia mpira usifike langoni kwake

Mashetani Wekundu, Manchester United wamepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wagonga nyundo wa London, West ham United ndani ya Dimba la Old Trafford.

Kipigo hicho kutoka kwa West Ham kinmewaacha Man United wakiyaaga mashindano ya Crabao Cup.

Goli pekee katika mchezo huo liliwekwa kimiani na ,Manuel Lanzini 9' na limedumu mpaka mwisho wa mchezo.

Katika michezo mingine ya michuano ya Carabao Cup, ni Brighton wameendelea na hatua inayofuata baada ya kuichapa Swansea magoli 2-0, Totenham wakishinda kwa Penati baada ya kutoka sare ya magoli 2-2 ndani ya dakkika 90 za mchezo