Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 28Article 554113

Soccer News of Saturday, 28 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Mashabiki Simba, Yanga wajenga Madarasa

Madarasa yaliyojengwa kwa Msaada wa Mashabiki wa Simba na Yanga Madarasa yaliyojengwa kwa Msaada wa Mashabiki wa Simba na Yanga

Mashabiki wa Mpira wa Klabu za Simba SC na Yanga Katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga Wajitolea kujenga na kukamilisha Vyumba 4 vya Madara katika Shule ya Msingi Nyahanga.

Mashabiki hao walichangia kiasi cha Shilingi Milioni 9 na ukamilishaji wake umefanywa kwa kutumia mapato ya ndani ya Manispaa ya Kahama.

Vyumba hivyo vinne vya Madarasa vimefunguliwa leo Agosti 27 na Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu.