Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 22Article 552940

Soccer News of Sunday, 22 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Mbeya Kwanza yamsainisha kiyombo kutoka mamelodi

usajili mpya wa Mbeya Kwanza, Habib Kiyombo usajili mpya wa Mbeya Kwanza, Habib Kiyombo

Mbeya Kwanza FC yamnasa straika Mtanzania, Habib Kiyombo kutoka Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Kiyombo ambae alikua kwa matajiri wa Afrika ya Kusini, muda mwingi alikua nje kutokana na kuuguza majeraha na sasa amerudi kujiunga na Wageni hao wa Ligii Kuu Tanzania Bara.

Timu ya Mbeya Kwanza itashiriki kwa mara ya kwanza Ligi kuu msimu wa 2021/2022, hivyo usajili kama huu ni katika kujipanga kuhakikisha hawaendi kufanya vibaya katika mechi zao kwa kuwa na wachezaji wenye ubora.