Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 19Article 558409

Habari za michezo of Sunday, 19 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Mbwembwe za Marioo uwanjani akisindikizwa na Pikipiki

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa DSM play videoPicha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa DSM

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani Marioo ambae ni miongoni mwa wasanii waliotoa burudani katika kilele cha wiki ya Simba SC yaani Simba DAY kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.