Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 26Article 559750

Golf News of Sunday, 26 September 2021

Chanzo: eatv.tv

Mchezo wa Gofu ni zao jipya la Utalii Tanzania

Uzinduzi wa Mchezo wa Gofu Jijini Arusha play videoUzinduzi wa Mchezo wa Gofu Jijini Arusha

Mchezo wa gofu ni zao jipya la utalii nchini Tanzania ambalo limezinduliwa Septemba 25 Jijini Arusha na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ambapo amesema hatua hiyo itaongeza idadi ya Watalii nchini.

Kwa upnade wake Waziri wa Utalii na Wanyamapori wa Kenya, Mhe. Najib Balala ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi huo amesema nchini Kenya mchezo wa gofu umekuwa na mwamko mkubwa.