Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 21Article 558886

Habari za michezo of Tuesday, 21 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Messi kukosekana katika mchezo wa kesho PSG dhidi ya "Metz"

Messi kukosekana katika mchezo wa kesho PSG dhidi ya Messi kukosekana katika mchezo wa kesho PSG dhidi ya "Metz"

Ni Septemba 21, 2021 ambapo Klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa “PSG” imetoa taarifa kuwa nyota wake aitwae ‘Lionel Messi’ atakosekana katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa dhidi ya Metz.

Aidha mchezaji huyo ataukosa mchezo huo kutokana na maumivu ya goti la mguu wa kushoto.

Metz dhidi ya PSG unatarajiwa kuchezwa kesho Septemba 22, 2021.